• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Kampuni ya nguo kutoka China kutoa nafasi 7,500 za ajira nchini Rwanda.

    (GMT+08:00) 2019-05-13 18:17:15
    Maelfu ya raia wa Rwanda wanatarajia kunufaika pakubwa kutokana na mkataba ulioafikiwa kati ya kampuni ya kutengeneza mavazi ya Pink Mango C$D kutoka China, na kiwanda cha nguo kutoka Rwanda. Kulingana na Bodi ya Maendeleo ya Rwanda, zaidi ya nafasi 7,500 za ajira zitapatikana. Kampuni ya Kichina ya Pink Mango C$D inatatengeneza mavazi yatakayouzwa Rwanda na mataifa mengine. Mazingira mazuri ya kufanyia biashara ndio kivutioa kikubwa kwa kampuni hii kuwekeza nchini Rwanda na hili linatazamiwa kuimarisha uchumi wa Rwanda.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako