• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatangaza kuongeza ushuru kwa bidhaa kutoka Marekani

    (GMT+08:00) 2019-05-13 21:09:42

    Kamati ya kanuni ya ushuru ya baraza la serikali ya China imeamua kuongeza ushuru kwa baadhi ya bidhaa katika orodha za bidhaa zilizoongeza ushuru zenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 60, ongezeko la ushuru ni kiasi cha asilimia 25, asilimia 20 na asilimia 10, na litaanzia saa 6 na dakika moja ya tarehe 1 Juni mwaka 2019.

    Kamati hiyo pia itaendeleaongeza ushuru wa asilimia 5 kwa bidhaa zilizoongezwa ushuru wa asilimia 5.

    Kamati hiyo imesema, China kutekeleza hatua hiyo ni majibu ya kitendo cha Marekani cha kujilinda kibiashara. China inatumai Marekani itarudi kwenye njia sahihi ya kufanya mazungumzo ya kiuchumi na kibiahara, na kushirikiana na China kufanya juhudi ili kufikia makubaliano ya kunufaishana juu ya msingi wa kuheshimiana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako