• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UM wasema nusu ya watu wa Gaza watakabiliwa na uhaba wa chakula kabla ya Juni

    (GMT+08:00) 2019-05-14 08:36:54

    Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Palestina UNRWA limesema zaidi ya nusu ya watu wa ukanda wa Gaza watakabiliwa na uhaba wa chakula ifikapo mwezi Juni. Taarifa iliyotolewa na shirika hilo imesema uwezo wake wa kuendelea kutoa misaada kwa wakimbizi milioni moja wa Palestina kwenye ukanda wa Gaza utakabiliwa na changamoto kubwa, kama halitapata fedha za ziada za dola milioni 60 za kimarekani kabla ya Juni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako