• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Vipaji vyaonekana katika mzunguko wa tano wa mashindano

  (GMT+08:00) 2019-05-14 09:03:32

  Licha ya madimbwi na tope jingi, hayakuzuia mashindano ya mbio za pikipiki mzunguko wa tano kutofanyika katika mashindano ya ubingwa wa mbio hizo zinazojulikana kama Mountain Dew MX mjini Garuga nchini Uganda jana.

  Waendesha pikipiki washindani wakubwa nchini humo Maxime Van Pee aliyetumia pikipiki aina ya MX125 alimaliza kwa kupata alama 60, huku William Blick Jr naye amepata alama 60 pamoja na Gift Sebaguzi. Waleed Omar, Fortune Sentamu na Lian Ntale wao wameambulia alama 57. Mashindano hayo yameonyesha vipaji vya hali ya juu vya kuendesha pikipiki hizo ambayo yamevutia mashabiki wengi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako