• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya Kampuni ya umeme ya Kenya Power imeweka transforma Garissa

    (GMT+08:00) 2019-05-14 19:51:44
    Kampuni ya umeme ya Kenya Power imeweka transforma 2.5MVA kwenye kituo cha umeme Garissa ili kuongeza uwezo wake na kuhakikisha kuna usambazaji wa umeme wakutosha kwa mji wa Garissa na mazingira yake.

    Transforma za ziada iliagizwa kutokana na ongezeko la mahitaji ya ndani ya eneo hilo tangu mwanzo wa mwezi mtakatifu wa Ramadhan.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako