• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vituo vya pampu za mafuta ghafi nchini Saudi Arabia vyashambuliwa kwa ndege zisizo na rubani

    (GMT+08:00) 2019-05-15 09:32:34

    Saudi Arabia imetangaza kuwa vituo vyake viwili vya pampu za mafuta ghafi vimeshambuliwa kwa ndege zisizo na rubani. Waziri wa nishati wa nchi hiyo Bw. Khalid Al-Falih ametaja mashambulizi hayo kama ni vitendo vya kigaidi vinavyolenga uzalishaji wa mafuta, na kusema mashambulizi hayo na mashambulizi dhidi ya meli nne zikiwemo boti mbili za mafuta za Saudi Arabia yaliyotokea Jumapili karibu na bandari ya Fujarirah nchini Umoja wa Falme za Kiarabu UAE yalilenga kuvugura utoaji nishati.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako