• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi asema ustaarabu haupingani, tunatakiwa kuwa na macho ya kjiburudisha na uzuri wa ustaarabu

    (GMT+08:00) 2019-05-15 11:33:41

    Rais Xi Jinping wa China hapa Beijing amesema, kila ustaarabu ni matunda ya uzuri, ambao unaonesha uzuri wa uvumbuzi. Kama tukiwa na macho ya kujiburudisha na uzuri wa ustaarabu, tutaona ustaarabu tofauti haupingani. Amesema, mambo yote mazuri yanaweza kuelewana. Kila nchi ya Asia inatakiwa kuufanya ustaarabu wake uwe na nguvu kubwa ya uhai, pia inatakiwa kujenga mazingira kwa ajili ya maendeleo ya ustaarabu wa nchi nyingine, ili kustawisha ustaarabu wa aina mballimbali tofauti kote duniani.

    Ameongeza kuwa uzuri wa ustaarabu umesimuliwa zaidi kwenye vitabu maarufu vya fasihi na sanaa. China inapenda kushirikiana na nchi husika kutekeleza mpango wa kutafisiri kazi maalumu za Asia na mpango wa ushirikiano na mawasiliano na ushirikiano katika sekta ya filamu na tamthiliya za Asia, ili kuwasaidia watu kuongeza uelewa na kuweza kujiburudisha na ustaarabu wa upande mwingine, na kujenga jukwaa la kuwasiliana na kuelewana kwa ajili ya kuonesha na kusambaza uzuri wa ustaarabu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako