• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping asema China inapenda kushirikiana na nchi za Asia katika kutekelea mpango wa kuhimiza sekta ya utalii

    (GMT+08:00) 2019-05-15 12:14:50

    Rais Xi Jinping wa China leo amesisitiza kuwa tunapaswa kwenda na wakati na kuleta mambo mapya katika kuendeleza ustaarabu wetu, pia tunatakiwa kuzalisha matokeo ya ustaarabu yenye mvuto yanayoweza kuenea kote duniani.

    Xi amesema kuangalia ustaarabu mbalimbali duniani na kugundua kitu kizuri cha wengine ndiyo njia ya moja kwa moja katika kuchochea uvumbuzi wetu. China inapenda kushirikiana na nchi za Asia katika kutekelea mpango wa kuhimiza sekta ya utalii, ili kuhimiza maendeleo ya uchumi wa nchi za Asia, na kuzidisha urafiki kati ya wananchi wa kanda hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako