• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Mataiafa ya Mashariki ya kati ndio wananunuzi wakubwa wa bidhaa za Uganda

    (GMT+08:00) 2019-05-15 17:23:15
    Mataifa ya Mashariki ya Kati yamepiku mataifa ya COMESA kwa kutumia bidhaa zinazotoka nchini Uganda, kufikia mwezi wa Machi mwaka huu. Ripoti iliyotolewa wiki iliyopita na Benki ya Uganda, inaonyesha kuwa Mwezi Machi mwaka huu, mapato ya taifa la Uganda baada ya kuuza bidhaa zake katika mataifa ya Mashariki ya Kati, yalikuwa shilingi bilioni 990 kutoka shilingi bilioni 290 mwezi Februari. Hizi ni pesa za Uganda. Ongezeko hili ni asilimia 70. Milki za Kiarabu ndio wanunuzi wakubwa sana wa bidhaa zinazotoka Uganda. Baaadhi ya bidhaa ni dhahabu na vyakula.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako