• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaweza kukabiliana athari kutokana na hatua ya kujilinda kibiashara ya Marekani

    (GMT+08:00) 2019-05-15 21:16:49

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang leo hapa Beijing amesema, uchumi wa China unaongezeka kwa utulivu, na kuonyesha mwelekeo mzuri. Hatua ya kujilinda kibiashara ya Marekani itaathiri kiasi kwa uchumi wa China, lakini China ina imani na uwezo wa kukabiliana na athari hiyo.

    Marekani imesema hali ya uchumi wa China si nzuri, na China ina shauku ya kufikia makubaliano na Marekani kuhusu suala la biashara.

    Bw. Geng amesema ukweli ni kwamba hali ya ukuaji wa uchumi wa China ni nzuri, na kauli ya Marekani haina msingi wowote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako