• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uturuki na Russia kuunda kikosi kazi kushughulikia suala la Idlib, Syria

  (GMT+08:00) 2019-05-16 08:58:12

  Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Bw. Mevlut Cavusoglu amesema rais Recep Tayyip Erdogan wa nchi hiyo na mwenzake wa Russia Vladimir Putin wamekubaliana kuunda kikosi kazi cha pamoja kushughulikia suala la Idlib, Syria haraka iwezekanavyo. Kwenye mazungumzo ya simu na rais Putin jana, rais Erdogan ameeleza ufuatiliaji wake na vitendo vya kukiuka makubaliano ya kusimamisha vita katika wiki mbili zilizopita na vikosi vya serikali ya Syria katika eneo lenye hali mbaya la Idlib.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako