• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Trump kutembelea Korea Kusini mwezi Juni

  (GMT+08:00) 2019-05-16 08:59:00

  Ikulu ya Marekani imesema rais Donald Trump atafanya ziara nchini Korea Kusini mwezi Juni na kukutana na rais Moon Jae-in kwa ajili ya kuhimiza uhusiano wa nchi hizo mbili, na pia kuendelea na uratibu wao katika juhudi za kutimiza malengo ya kuondoa silaha za nyuklia kwenye Peninsula ya Korea. Kwenye ziara ya hivi karibuni ya rais Moon nchini Marekani mwezi Aprili, rais Trump alisema vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini vinaendelea kutekelezwa, lakini aliona hakuna haja ya kuongeza makali ya vikwazo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako