• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping wa China ashiriki kwenye Maonesho ya Tamaduni za Asia

  (GMT+08:00) 2019-05-16 09:41:01

  Rais Xi Jinping wa China na mkewe Bibi Peng Liyuan pamoja na viongozi wa nchi mbalimbali ambao wako Beijing kuhudhuria Mkutano wa mazungumzo kati ya staarabu za Asia, wameshiriki kwenye Tamasha la Tamaduni za Asia.

  Hii ni moja kati ya shughuli muhimu wakati wa Mkutano wa mazungumzo kati ya staarabu za Asia. Rais Xi kwa niaba ya serikali na watu wa China amehutubia ufunguzi wa maonesho hayo akisema: "Kila nchi ya Asia zote zina tamaduni za kale zinazong'ara, ambao zina umaalumu wa kipekee, na pia zinasikilizana. Uanuai wa Staarabu za Asia umetia rangi anuwai zaidi na nguvu ya uhai ya kudumu kwenye tamaduni za Asia."

  Rais Xi pia amesisitiza kuwa wananchi wa China wanatumai kwa nia njema, kwamba nchi mbalimbali za Asia zitasaidiana na kukabiliana na matatizo kwa pamoja, ili kujenga mustakabali mzuri wa bara la Asia na dunia nzima.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako