• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa China atoa makala muhimu kwenye jarida la Qiushi

  (GMT+08:00) 2019-05-16 10:42:06

  Rais Xi Jinping wa China ametoa makala muhimu ya "kuelewa kwa kina wazo jipya la maendeleo" kwenye jarida la Qiushi lililochapishwa leo.

  Makala hiyo imesema, China itafanya juhudi kutekeleza mkakati wa maendeleo yanayohimizwa na uvumbuzi, kuweka msingi wa maendeleo katika uvumbuzi, na kuendeleza nguvu mpya kupitia uvumbuzi.

  Aidha makala hiyo imesema, China inatakiwa kuimarisha maendeleo yenye uwiano na katika hali ya jumla, kushughulikia vizuri uhusiano kati ya hali ya sehemu na hali ya ujumla, hali ya hivi sasa na hali ya siku za baadaye, mambo muhimu na mambo yasiyo muhimu, kufanya juhudi kuhimiza maendeleo ya pamoja ya sehemu, maendeleo ya pamoja ya miji na vijiji, maendeleo ya ustaarabu wa kitu na ustaarabu wa kiroho na maendeleo ya ujenzi wa kiuchumi na ujenzi wa ulinzi wa taifa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako