• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL)- Simba yaishusha Yanga, yasaka alama tano kuwa Bingwa.

  (GMT+08:00) 2019-05-17 09:51:40

  Wekundu wa msimbazi Simba ya Dar es Salaam, imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa jana uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

  Mabao ya Simba yamewekwa kimiani na John Raphael Bocco dakika ya 32, Clatous Chama dakika ya 47 na Emmanuel Okwi dakika ya 57.

  Baada ya mchezo huo, Kocha wa Mtibwa Zuberi Katwila alikuwa na haya ya kuongea kama alivyohojiwa na Global TV

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako