• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Balozi wa China asisitiza jumuiya ya kimataifa isaidie nchi za eneo la Sahel kukabiliana na changamoto ya maendeleo

    (GMT+08:00) 2019-05-17 17:28:48

    Balozi wa kudumu wa China kwenye Umoja wa Mataifa Bw. Ma Zhaoxu ameitaka jumuiya ya kimataifa izisaidie nchi kwenye eneo la Sahel, na nchi za kusini mwa Sahara barani Afrika kukabiliana na changamoto ya maendeleo na kutafuta uwezo wa kujiendeleza.

    Bw. Ma siku hiyo alitoa hotuba katika mkutano wa ripoti kuhusu suala la kikosi cha ushirikiano wa nchi 5 za eneo la Sahel wa baraza la usalama, akisema ili kutimiza utulivu na maendeleo ya eneo hilo, jumuiya ya kimataifa inahitaji kutekeleza sera kwa kuzingatia siasa, usalama na maendeleo, na inapaswa kuendelea kutoa uungaji mkono kwa nchi za eneo hilo hasa kuunga mkono juhudi za nchi 5 za eneo la Sahel kukabiliana na changamoto ya usalama.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako