• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Mwana wa Tanzania Samatta akabidhiwa tuzo zake na kombe la ubingwa ligi ya Ubelgiji.

  (GMT+08:00) 2019-05-21 08:35:55

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, ambaye pia ni nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta amekabidhiwa tuzo zake na kuvishwa medali ya ubingwa wa ligi daraja la kwanza A Ubelgiji maarufu kama Jupiter Pro League baada ya sare ya 0-0 na Standard Liege kwenye mchezo wa mwisho wa msimu uwanja wa Luminus.

  Kwa matokeo hayo, KRC Genk inamaliza msimu na alama 52, alama mbili zaidi ya Klabu Brugge iliyoshika nafasi ya pili. Huku zote mbili zikicheza ligi ya mabingwa Ulaya msimu ujao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako