• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waasi wa Houthi wa Yemen wakanusha kurusha makombora dhidi ya Mecca

    (GMT+08:00) 2019-05-21 09:04:41

    Shirika la habari la Yemen, Saba, linaloongozwa na kundi la Houthi limeripoti kuwa waasi wa kundi hilo wamekanusha ripoti za Saudi Arabia kuwa makombora ya kundi hilo yalirushwa dhidi ya mji wa Mecca. Msemaji wa jeshi la Houthi Yahya Sarea amesema hii si mara ya kwanza kwa Saudi Arabia kuwashutumu kuhusu kushambulia Mecca kwa makombora, na kitendo hicho kinalenga kutafuta uungaji mkono juu ya uvamizi wao wa kijeshi dhidi ya watu wa Yemen.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako