• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Huawei imesema soko la Kenya ni imara

    (GMT+08:00) 2019-05-21 19:52:05
    Kampuni ya simu ya Huawei Technologies imesema japo Marekani na Google imepiga marufuku biashara yao bado biashara yao inavuma nchini Kenya.

    Mkurugenzi mkuu wa Afrika Kusini, Adam Lane amesema kampuni imeandaliwa kwa kuboresha mifumo ili kuepukana na shida ya tangu 2016.

    Kwa mujibu wa StatCounter Global, simu za Huawei zilishikilia asilimia 7.44 kwa sehemu ya soko la muuzaji wa simu nchini Kenya kwa miezi 12 hadi Aprili 2019.

    Dunia, Huawei inakuja tatu kwa asilimia 8.65, baada ya Samsung (30.99%) na Apple (asilimia 22.94).

    Uamuzi wa Google kusimamisha biashara na Huawei inaweza kumaanisha kuwa watumiaji wa simu mpya za Huawei hawataweza kutumia huduma ikiwa ni pamoja na Gmail, Google Play store, Google Drive na Picha, YouTube na Google Maps.

    Huawei amesema uamuzi sio wa haki na inamipango ya kushtaki serikali ya Marekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako