• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • VSONE Group imezindua oparesheni zake Afrika Rwanda

    (GMT+08:00) 2019-05-21 19:53:05
    VSONE Group, mmoja ya mtoaji huduma za teknolojia nchini Asia, Ijumaa iliyopita alisema itaanza oparesheni zake Afrika, Kigali, ili kutengenezea njia ya ambayo wanaamini itafaidika Afrika inapojianda kuingia kidigitali.

    Hii inamaanisha kamouni hiyo itaanzisha makao yake makuu Kigali, na kuwawezesha kutumikia maeneo kama sekta ya kifedha, makampuni ya mawasiliano ya simu, huduma za afya, viwanda, , na sekta ya umma.

    Kwa uzoefu wa zaidi ya miaka 10, wafanyakazi 600 na mauzo ya dola milioni 35 mwaka 2018, VSONE kwa sasa inatoa bidhaa na huduma mbalimbali katika sekta ya umma, benki, fedha na Bima.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako