• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping wa China amtumia salamu za pongezi rais Joko Widodo kwa kuchaguliwa tena kuiongoza Indonesia

  (GMT+08:00) 2019-05-21 20:53:54

  Rais Xi Jinping wa China amemtumia salamu za pongezi rais Joko Widodo kwa kuchaguliwa tena kuiongoza Indonesia.

  Kwenye salamu hizo, rais Xi ameeleza kuwa katika miaka ya hivi karibuni, nchi hizo mbili zimetumia fursa ya kujenga pamoja "Ukanda Mmoja, Njia Moja", kupata maendeleo makubwa katika kukuza uoanishaji wa mikakati ya maendeleo, kuwa na ushirikiano wenye ufanisi katika sekta mbalimbali umepata maendeleo kwa udhahiri, na uhusiano kati ya pande mbili zimeingia katika kipindi kipya chenye maendeleo ya kasi. Pia amesisitiza kuwa China itaendelea kushirikiana na rais Widodo, kuelekeza uhusiano wa kiwenzi na kimkakati wa pande zote kupanda ngazi ya juu zaidi, ili kuzinufaisha nchi hizo mbili na wananchi wao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako