• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Kuelekea fainali ya Europa: Klabu ya Arsenal yapatwa na pigo, Chelsea mwendo mdundo

  (GMT+08:00) 2019-05-23 09:00:24
  Kutokana na sababu za kiusalama, Klabu ya Arsenal imetangaza rasmi kuwa haitamjumuisha kiungo wao mshambuliaji, Henrikh Mkhitaryan kwenye kikosi kitakachosafiri kwenda mjini Baku nchini Azerbaijan kwa ajili ya mchezo wa fainali ya Europa unaotarajiwa kuchezwa tarehe 29 mwezi huu.

  Arsenal imetoa taarifa hiyo rasmi, ikieleza kuwa sababu za kiusalama kwa, Muarmenia Mkhitaryan ndio zimepelekea kumtoa kwenye kikosi.

  Tayari shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) wameshajibu maombi ya Arsenal na limeeleza kuwa maombi hayo ni ya sababu za mtu binafsi hivyo wamemkubalia bila hiyana.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako