• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Marekani yafungua mashtaka mapya 17 dhidi ya mwanzilishi mwenza wa WikiLeaks Julian Assange

  (GMT+08:00) 2019-05-24 10:19:44

  Wizara ya Sheria ya Marekani imesema imefungua mashtaka mapya 17 dhidi ya mwanzilishi mwenza wa WikiLeaks Julian Assange, ikiwemo kupokea na kutangaza nyaraka za siri za kijeshi na kidiplomasia mwaka 2010 kinyume cha sheria. Ameshtakiwa kukiuka sheria ya ujasusi ya Marekani. Hata hivyo vyombo mbalimbali vya habari vya Marekani vimesema mashtaka mapya yameyatilia mashaka masuala ya Marekebisho ya Kwanza, ambayo yanaweza kutoa mfano hatari kwa wanahabari.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako