• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Waasi wa Houthi wa Yemen washambulia uwanja wa ndege wa mji wa mpakani wa Saudi Arabia

  (GMT+08:00) 2019-05-24 10:20:03

  Kituo cha televisheni cha kundi la Houthi al-Masirah kimeripoti kuwa, waasi wa Houthi wa Yemen wameshambulia kwa ndege isiyo na rubani uwanja wa ndege wa mji wa mpakani wa Najran nchini Saudia Arabia. Hili lilikuwa ni shambulizi la tatu dhidi ya uwanja huo wa ndege katika siku tatu zilizopita. Kituo hicho cha televisheni pia kimesema jeshi la anga la Saudi Arabia lilizuia na kuharibu ndege hiyo isiyo na rubani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako