• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China na Russia zaahidi kushirikiana zaidi katika mito Yangtze na Volga

  (GMT+08:00) 2019-05-24 10:21:53

  China na Russia zimeahidi kuongeza ushirikiano kwenye mito Yangtze na Volga. Mkutano wa tatu wa Baraza la Ushirikiano kati ya sehemu za juu na kati za Mto Yangtze na eneo la Volga ulioendeshwa na mjumbe wa taifa la China Wang Yong na mwakilishi wa rais wa Russia katika eneo la Volga Igor Komarov, ulifanyika jana mjini Cheboksary, Russia, ambapo makubaliano kadhaa yalifikiwa. Wang amesema pande zote mbili zinatakiwa kufanya kazi kuwezesha ushirikiano wa serikali za mitaa upate matokeo mazuri zaidi na kufanya uhusiano huo wa kiwenzi uweze kukuza uhusiano kati ya China na Russia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako