• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Botswana yafuta amri ya kuzuia kuwinda ndovu

  (GMT+08:00) 2019-05-24 16:35:59

  Waziri wa mazingira, uhifadhi wa maliasili na utalii wa Botswana Bw. Kitso Mokaila ametangaza kuwa nchi hiyo itaondoa amri ya marufuku ya uwindaji wa ndovu, na kutekeleza udhibiti wa makini wa uwindaji.

  Bw. Mokaila akizungumzia mipango baada ya kuondoa amri hiyo, amesema uwindaji utadhibitiwa kwa hatua kali kwenye maeneo madogo, na idadi ya ndovu wanaoruhusiwa kufanyiwa uwindaji haipaswi kuzidi 400 kwa mwaka.

  Takwimu zimeonesha kuwa, Botswana ina ndovu laki 1.3, ambayo ni nchi yenye idadi kubwa zaidi ya ndovu wa afrika duniani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako