• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mkuu wa Kamati ya maandalizi ya Mkutano wa Mazungumzo ya ustaarabu wa Asia atangaza matokeo yaliyopatikana

  (GMT+08:00) 2019-05-24 21:03:07

  Mkutano wa Mazungumzo ya ustaarabu wa Asia uliofanyika kuanzia tarehe 15 hadi 22 Mei mjini Beijing, China, ulishirikisha wajumbe 2,000 wa serikali, sekta za utamaduni, elimu, filamu, jumuiya ya washauri mabingwa, vyombo vya habari na utalii kutoka nchi 47 barani Asia na mabara mengine duniani, na kupata matokeo mengi ambayo ni pamoja na;

  Kutangaza Maafikiano ya Beijing ya mwaka 2019 katika Mkutano wa mazungumzo ya ustaarabu wa Asia; kutoa mapendekezo ya ushirikiano kati ya pande nyingine na pande mbili; kusaini nyaraka mbalimbali za ushirikiano kati ya pande nyingi na pande mbili; na kutangaza matokeo yaliyopatikana katika miradi mbalimbali na ripoti za utafiti.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako