• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • KIKAPU: Fainali za NBA-Warriors uso kwa uso na Raptors

  (GMT+08:00) 2019-05-27 09:15:56

  Ni rasmi sasa timu ya Golden State Warriors itakutana na Toronto Raptors Mei 30 jijini Toronto katika fainali ya kwanza ya ligi kuu ya mpira wa Kikapu ya Marekani inayojulikana zaidi kama ligi ya NBA.

  Raptors wamefuzu fainali hizo kwa mara ya kwanza katika historia ya timu hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako