• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Kidiaba ateuliwa kuwa waziri wa michezo DRC

  (GMT+08:00) 2019-05-27 09:16:10

  Habari iliyoteka hisia za wadau wengi wa soka wikiendi hii iliyomalizika ni kuhusu Rais wa DRC Felix Tshisekedi kumteua aliyekuwa golikipa wa timu ya taifa ya DRC na klabu ya TP Mazembe, Robert Kidibia kuwa waziri wa michezo wa nchi hiyo.

  Kidibia baada ya kustaafu soka, alikuwa kocha wa makipa wa timu ya TP Mazembe na baadaye alichaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa jimbo la Katanga.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako