• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • RAGA: Kenya yaburuta mkia London Seven

  (GMT+08:00) 2019-05-27 09:16:27

  Timu ya taifa ya raga wachezaji saba kila upande ya Kenya Shujaa, imeshika mkia kwenye duru ya tisa ya michuano ya raga ya dunia jijini London nchini Uingereza baada ya kuchapwa na Japan miguso 26-17 kwenye nusu-fainali ya michuano hiyo iliyochezwa jana na kushuka kutoka nafasi ya 13 hadi ya 14.

  Shujaa sasa iko katika nafasi ya 14 kwa alama 27 na katika hatari zaidi ya kutemwa kutoka ligi hii ya kifahari inayojumuisha mataifa 15 na timu moja alikwa katika duru 10.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako