• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 20 wachomwa kisu katika bustani karibu na Tokyo, watatu wakiwa mahututi

    (GMT+08:00) 2019-05-28 09:11:54

    Shirika la Utangazaji la Japan NHK limeripoti kuwa jumla ya watu 20 wamejeruhiwa kwa kuchomwa kisu, watatu wakiwa mahututi baada ya kushambuliwa na mwanamume mmoja katika bustani moja huko Kawasaki, karibu na Tokyo. Kati ya watu hao 20, 16 ni watoto wa shule ya chekechea. Mtuhumiwa huyo aliyejeruhiwa vibaya begani anashikiliwa na polisi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako