• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mkutano wa 75 wa ESCAP yafanyika Bangkok, Thailand

  (GMT+08:00) 2019-05-28 19:02:02

  Mkutano wa 75 wa mawaziri wa Kamati ya Uchumi na Jamii ya Asia na Pasifiki ya Umoja wa Mataifa ESCAP umefanyika mjini Bangkok, Thailand.

  Msaidizi wa waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Zhang Jun, ameongoza ujumbe wa China kushiriki kwenye mkutano huo. Amesema, kutokana na hali iliyopo ESCAP inapaswa kushikilia msimamo wake na kuchukua hatua za kujenga mazingira mazuri ya wazi na uvumilivu kwa maendeleo ya kanda hiyo.

  Habari zinasema, China, Thailand, Kazakhstan na ofisi ya katibu ya ESCAP zimeshirikiana kuitisha mkutano wenye ajenda ya "Ukanda Mmoja, Njia moja" ambao umevutia zaidi ya nchi 30.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako