• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wizara ya Fedha ya Marekani yasema hakuna mwenzi mkubwa wa kibiashara anayedhibiti kiwango cha ubadilishaji wa sarafu

  (GMT+08:00) 2019-05-29 09:05:24

  Wizara ya Fedha ya Marekani imetoa ripoti ikisema hakuna mwenzi mkubwa wa kibiashara wa Marekani aliyefikia kigezo cha kudhibiti kiwango cha ubadilishaji wa sarafu mwaka jana. Hata hivyo, Wizara hiyo imeziweka China, Ujerumani, Ireland, Italia, Japan, Korea Kusini, Malaysia, Singapore na Vietnam kwenye orodha ya usimamizi, hatua inayoonyesha kuwa sera za ubadilishaji wa sarafu za nchi hizo zinaangaliwa kwa makini.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako