• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Serikali ya Yemen yawarudisha nyumbani awamu ya kwanza ya wahamiaji haramu 124 kutoka Afrika

  (GMT+08:00) 2019-05-29 09:06:43

  Serikali ya Yemen imetangaza kuwarudisha nyumbani awamu ya kwanza ya wahamiaji haramu 124 wa Afrika wanaotaka kurejea nchini kwao kwa hiari. Shirika la habari la Yemen Saba limeripoti kuwa zoezi hilo limefanyika kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Uhamiaji IOM na wadau wengine kuendana na sheria na kanuni husika za kimataifa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako