• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Polisi nchini Uhispania inawashikilia watu kadhaa kwa tuhuma za upangaji matokeo

    (GMT+08:00) 2019-05-29 10:38:06

    Polisi nchini Uhispania imewakamata watu kadhaa kama sehemu ya uchunguzi kuhusu taarifa za upangaji matokeo kwenye mechi za La Liga.

    Viongozi wa sasa na wachezaji wa zamani pamoja na wakurugenzi wa vilabu kutoka katika ligi mbili kubwa nchini humo wamekamatwa kwa mahojiano.

    La Liga pia imeripoti mechi takribani nane ambazo zina uwezekano kuwa matokeo yake yalipangwa, pia imeorodhesha majina ya wachezaji kutoka katika ligi za daraja la chini ili wapewe adhabu kutokana na kubainika kuwa walishiriki kucheza kamari katika baadhi ya mechi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako