• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Huawei yatoa hoja ya kuitaka mahakama ya Marekani iamue kuwa muswada wa sheria wa ulinzi wa taifa unakwenda kinyume na katiba

    (GMT+08:00) 2019-05-29 20:26:05

    Kampuni ya teknolojia ya Huawei ya China imetoa hoja ya uamuzi wa jumla, ikitaka mahakama ya Marekani ifute baadhi ya maudhui yaliyomo katika "Muswada wa Sheria ya Idhini ya Ulinzi wa Kitaifa" uliopitishwa na bunge la Marekani.

    Muswada huo uliopitishwa kuwa sheria mwaka jana majira ya joto na unayapiga marufuku mashirika yote ya serikali ya Marekani kutumia teknolojia ya Huawei. Taarifa iliyotolewa na ofisa mkuu wa sheria wa Huawei Song Liuping imesema marufuku hayo yamekwenda kinyume na Katiba ya Marekani kwa kuadhibu mtu au kundi binafsi bila kusikiliza kesi. Imesema sheria hiyo inalenga tu kutimua kampuni ya Huawei katika soko la Marekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako