• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Taxi zatakiwa kutumia mita za elktroniki Rwanda

    (GMT+08:00) 2019-05-30 18:55:50

    Serikali imewataka madereva wa Taxi kutumia teknolojia mpya ya mita za elktroniki ili kujifaisha zaidi na pia kuvutia wateja.

    Hilo linajiri wakati ikibainika kuwa madereva wengi wanatumia njia ya zamani ya kujadili nauli kati yao na wateja.

    Mamlakaya kuthibiti mawasiliano na nyombo husika nchini humo RURA imesema ni asilimia 30 tu ya madereva wanaotumia mita za kielektroniki.

    Hata hivyo madereva wanalalamikaa kuwa asilimia 10.5 ya ushuru inayotozwa kwa kutumia mita hizo ndio sababu inayopelekea wengi kutozitumia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako