• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Mataifa wakamilisha ukaguzi wa kambi za uhandisi za walinzi wa amani wa China katika jimbo la Darfur

    (GMT+08:00) 2019-05-30 19:50:50

    Tume ya pamoja na Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika katika eneo la Darfur UNAMID imekamilisha kazi ya ukaguzi wa utayari wa kambi mbili za uhandisi za walinzi wa amani wa China katika eneo la Darfur.

    Timu ya ukaguzi ya UNAMID ilifanya ukaguzi huo kuanzia tarehe 14 Mei hadi tarehe 28 Mei, ikikagua zana za kombania ya wahandisi wa China kwenye maeneo matatu ya kazi.

    Ukaguzi huo ulifanyika kwenye vitu zaidi ya laki 2.4 ikiwa ni pamoja na magari, silaha, risasi, makazi, vifaa vya mawasiliano, matibabu na maisha. Ukaguzi wa vifaa vya Umoja wa Mataifa hufanyika kila baada ya miezi sita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako