• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: wakulima wa kahawa wapanga kugeukia mazao mengeni kwa sabau ya bei za chini kwenye soko la kimataifa.

    (GMT+08:00) 2019-05-31 19:18:05

    Kenya ni nchi ya tano kwa uzalishaji wa kahawa Afrika, lakini hiyo inaweza kubadilika. Wakulima wa kahawa mataifa ya Afrika Mashariki wanageuka mazao mengine kwa sababu ya ukame na bei za chini kwenye soko la kimataifa.

    Joseph Kieyah wa Kamati ya Kahawa ya Kenya, amesema wanajaribu kusaidia wakulima kuongeza uzalishaji wa kahawa.

    Pia wanapendekeza ruzuku ya miaka mitatu kwa nia ya kujaribu kusaidia mkulima kupunguza gharama za uzalishaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako