• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Watu 11 wauawa na wengine 6 kujeruhiwa kwenye tukio la kufyatua risasi Virginia Marekani

  (GMT+08:00) 2019-06-01 18:08:58

  Polisi wa mji wa Virginia Beach katika jimbo la Virginia Mashariki mwa Marekani wameripoti kutokea kwa tukio la kufyatua risasi mjini humo siku ya Ijumaa, na kusababisha vifo vya watu 11 na wengine 6 kujeruhiwa.

  Akiongea kwenye mkutano na wanahabari mkuu wa polisi wa mji huo Bw. Jim Cervera amesema mfyatuaji risasi alikuwa mfanyakazi wa manispaa na alikufa papo hapo.

  Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na polisi kupiti mtandao wa kijamii, tukio hilo lilitokea katika jengo la serikali katikati ya mji huo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako