• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Ligi ya mabingwa Ulaya- Kimeeleweka, Liverpool bingwa

    (GMT+08:00) 2019-06-03 08:09:18
    "You will never walk alone" ndio kauli mbiu ya Liverpool. Soka ni moja ya mchezo wenye matukio mengi ya kuvutia na kusisimua ambayo huacha pande mbili za historia, ya furaha ama huzuni kwa mashabiki.

    Hatimaye kimeeleweka, majogoo wa Anfield Liverpool, wamechukua ubingwa wa Ulaya baada ya kuifumua Tottenham Hotspurs bao 2-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa usiku wa kuamkia Jumapili jijini Madrid Uhispania.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako