• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • RAGA: Fiji mabingwa wa raga wa dunia, Kenya wakamata mkia

  (GMT+08:00) 2019-06-04 07:54:23

  Fiji ndiyo mabingwa wa raga ya dunia ya wachezaji saba kila upande ya msimu 2018/2019 baada ya kushinda taji la Paris la wachezaji saba kila upande kwa kubwaga New Zealand kwa miguso 35-24 nchini Ufaransa.

  Mbali na kuwa mabingwa wa raga ya dunia msimu huu wa 2018/2019, Fiji pia ilifuzu kushiriki Olimpiki nchini Japan mwaka 2020 pamoja na washindi wa pili New Zealand na wa tatu Mareakni, na nne Afrika Kusini zimekata tiketi ya kushiriki Olimpiki kwa kumaliza michuano hiyo ya raga ya dunia katika nafasi nne za kwanza.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako