• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jukwaa la maendeleo ya nchi kavu na bahari la Ukanda Mmoja Njia Moja lafanyika Chongqing

    (GMT+08:00) 2019-06-04 08:44:25

    Jukwaa la maendeleo ya nchi kavu na bahari la Ukanda Mmoja Njia Moja limefanyika mjini Chongqing, China na kuhudhuriwa na watu zaidi ya 200 wakiwemo viongozi 150 wa kisiasa kutoka nchi za nje, wasomi na wawakilishi wa taasisi za kibiashara kutoka Ufaransa, Russia, Hispania, Cambodia na Tanzania. Washiriki hao wamefikia maafikiano kuhusu maendeleo ya nchi kavu na bahari chini ya mfumo wa Pendekezo la Ukanda Mmoja na Njia Moja, na pia kupitisha Azimio la Chongqing. Azimio hilo limezitaka pande husika kuimarisha maingiliano ya kiuchumi na kushirikishana maendeleo ya maingiliano hayo na mafanikio yake, ili hatimaye kujenga uhusiano wa kimataifa wenye msingi wa muunganiko.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako