• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yasema nia ya mazungumzo ya Marekani haiaminiki

    (GMT+08:00) 2019-06-04 19:50:20

    Wizara ya mambo ya nje ya Iran imetoa taarifa kuwa kauli ya Marekani kuhusu kupenda kufanya mazungumzo na nchi hiyo bila ya masharti ni tupu, na haiaminiki. Hapo awali waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. Mike Pompeo ambaye yupo ziarani nchini Uswisi amesema Marekani inapenda kufanya mazungumzo na Iran bila masharti, lakini hatua zilizochukuliwa na Marekani kwa Iran hazitabadiliki.

    Taarifa hiyo inasema serikali ya Marekani inatakiwa kubadilisha sera na vitendo vyake dhidi ya Iran, ili kupata majibu ya Iran.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako