• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Shelter Afrique yawataka wadau wake kulipa deni la mgao wa mtaji

    (GMT+08:00) 2019-06-04 19:52:58
    Hazina ya kujenga nyumba Shelter Afrique imewataka wadau wake wote 44 kulipa mgao wao ili kuwezesha hazina hiyo kuendesha oparesheni zake.

    Mkurungezi wa Shelter Afrique Andrew Chimphondah amesema wanahitaji shilingi bilioni 35 kama sehemu ya mtaji wa biashara.

    Amesema tangu mwaka 2013 kuna baadhi ya wadau ambao hawajalipa mgao wao wa mtaji na deni hilo sasa linafikia shilingi bilioni 9.8.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako