• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RIADHA: Mahakama imezuia Caster Semenya kupunguzwa homoni za kiume

    (GMT+08:00) 2019-06-05 08:19:20
    Baada ya Mahakama ya michezo CAS kutangaza kuwa mwanadada Caster Simenya wa Afrika Kusini apunguzwe homoni za kike, Semenya mwenyewe alikata rufaa na kuipelekea kesi hiyo nchini Uswiss ambapo jana limetoka zuio kwa muda hadi Juni 25 watakaposikiliza tena, kwa mantiki hiyo shirikisho la riadha duniani IAAF linalazimika kuheshimu amri ya Mahakama.

    Caster mwenye umri wa miaka 28 aliripotiwa kuwa na homoni nyingi za kiume kuliko za jinsia yake ya kike, hivyo baadhi ya watu walitaka apunguzwe homoni hizo ili aendelee kushiriki riadha za wanawake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako