Tanzania imepata nafasi hiyo baada ya vilabu vyake kufanya vizuri kwa miaka ya hivi karibuni, kiasi cha kuwezeshesha nchi hiyo kupata alama nyingi zilizofanikisha kupata nafasi hizo, sasa katika michuano inayoandaliwa na shirikisho hilo ile ya Klabu bingwa Afrika, Tanzania itapeleka klabu za Simba na Yanga, na kwenye mashindano ya kombe la shirikisho, vilabu vya Azam FC na KMC.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |