• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: CAF yathibitisha rasmi Tanzania kupeleka klabu nne michuano ya kimataifa 2019/2020

  (GMT+08:00) 2019-06-05 08:20:30

  Shirikisho la soka Afrika (CAF) limetangaza rasmi kuwa Tanzania kuanzia msimu wa 2019/20 itaanza kupeleka vilabu vinne katika michuano ya kimataifa inayoandaliwa na shirikisho hilo na sio vilabu viwili kama ilivyokuwa awali.

  Tanzania imepata nafasi hiyo baada ya vilabu vyake kufanya vizuri kwa miaka ya hivi karibuni, kiasi cha kuwezeshesha nchi hiyo kupata alama nyingi zilizofanikisha kupata nafasi hizo, sasa katika michuano inayoandaliwa na shirikisho hilo ile ya Klabu bingwa Afrika, Tanzania itapeleka klabu za Simba na Yanga, na kwenye mashindano ya kombe la shirikisho, vilabu vya Azam FC na KMC.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako