• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia yazindua mpango mpya wa kuongeza ushiriki wa wanawake katika sekta ya sayansi na teknolojia

    (GMT+08:00) 2019-06-05 08:35:33

    Wizara ya uvumbuzi na teknolojia ya Ethiopia imezindua mpango mpya unaolenga kuongeza ushiriki wa wanawake katika ujasiriamali unaohusiana na teknolojia.

    Taarifa iliyotolewa na wizara hiyo imesema, mpango huo mpya unalenga kuongeza ushiriki wa wajasiriamali wanawake katika sayansi na teknolojia ya software kupitia mafunzo yatakayowashirikisha wanawake kutoka sehemu mbalimbali za nchi hiyo.

    Mkurugenzi wa Idara ya Wanawake na Vijana iliyo chini ya wizara hiyo Bi. Elisabeth Gebreselassie amesema, serikali ya Ethiopia ina nia ya kuongeza ushiriki wa wanawake kuendana na maendeleo ya teknolojia duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako