• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Misikiti na makanisa ya Misri yalaani shambulizi lililotokea katika siku ya Eid al-Fitr

    (GMT+08:00) 2019-06-06 10:03:07

    Msikiti wa Al-Azhar wa Misri ambao ni msikiti mkuu wa dhehebu la Sunni duniani pamoja na makanisa ya Orthodox na Katoliki nchini humo yamelaani vikali shambulizi la kigaidi lililotokea jimboni Sinai Kaskazini jana katika sikukuu ya Eid al-Fitr. Shambulizi hilo lililofanywa dhidi ya kituo cha ukaguzi mjini Arish limesababisha vifo vya askari 8 wa usalama, huku magaidi 6 wakiuawa katika mapigano. Wakati huohuo baadhi ya nchi za kiarabu ikiwemo Bahrain, Kuwait and Jordan pia zimelaani shambulizi hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako